NANI ALAUMIWE SIMBA?

Licha ya kusaliwa na michezo kadhaa ya Ligi Kuu Bara, Simba inaelekea kuumaliza Msimu wa 2022/23 bila taji baada ya kufungwa na Azam FC goli 2-1 katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam kwenye Uwanja wa Nangwanda, #Mtwara AzamFC imepata magoli yake kupitia kwa #LusajoMwaikenda na #PrinceDube wakati #Simba ikipata goli kupitia kwa